ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Dah kwa hio mkuu me Ni loser wa kimataifa000000
Namshukuru kwa maoni yako
We mwenyewe hauna hela ya bia unategemea Mimi nitapata wapi?Alafu nikishasema unanipa
ela ya bia au?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Deshi unamaanisha Nini? Kwamba dishi limeyumba?
Roho yako inauma Mimi kutamba ndani ya CCMWe ni bure kabisa!! Kada takataka wa ccm!
Dah kwa hio mkuu me Ni loser wa kimataifa
Amina hio nashukuru kwa neema hi ya mchango wako.. bado nipo karibu mtu wa MUNGUMimi kwa kifupi nd nimekuona leo[emoji26][emoji26] ila tabia za ndege john ni 50/50... Anakula sana mizoga na vitu vichafu vichafu lakini pia ni ndege Mwenye uwezo wa kupaa mbali sana ad kufikia sehem ambayo hakuna oxygen na kisha hutumia oxygen ambayo ameihifadhi kwenye (Air sac)
MAARABOU STORK
😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
Nitabadilika nisikuboe0000000000000
Mkuu maisha yenyewe yapo kasi acha TU tuendelee kuinjoi nafasi HUWEZI kujua usikute wengine furaha yetu Nikuona tumepost. Btw Nimeuchukua ushauri wako kwa mikono miwili..Asante kwa like zako unafanya vizuri sanaSio lazima kila siku uanzishe uzi mkuu!
Kama huna cha kuongea basi unakuwa mchangiaji tu.
Mbona sie wazee wa kucomment kidogo na kutupia viji "like" vingiiii tunaenjoy sana asee!
Kwangu mm sometimes unaandikaga point ila tu pumba ndo nyingi sana pamoja na yote huwa nakutupia viji like tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app