ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kichwa chake kilaini kama cha mbuzi huyu...Weka uliwe kichwa [emoji276]
Hakuna awezaye kulipa asilimia 14 wewehapana sio promo hii
Hii no zaidi ya KalyindaIsije ikawa Yale Yale ya KALYNDA 😅😅😅
Hakuna benki yenye uwezo wa kutoa asilimia 14 Tanzania kwa mwaka ,haipo.kwa vigezo vyote[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%
nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB
kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani
hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
lazima ulipigwa na maparachichi🤣hapana mkuu
nimekusoma mkuu ngoja nifatilie bank zalizofilisika hapa tanznaia what happened behind b.o.t and bank member
but unazidi kunitia moyo mkuu
Reserve reqirement haina uhusiano na refund za amana za wateja. Amana za wateja hulindwa na kitu inaitwa Insurance deposit, hii inawajibika na fidia pale bank inapofungwa kutokana na mwenendo mbovu ulioathiri hiyo reserve requirement.Sio mtaalamu wa masuala ya kifedha , lakn nachojua Bank zote Wana kiasi BOT , ambacho kinalinda amana za wateja , endapo bank itaflisika,serikali itaitaifsha , ili kulinda amana za wateja , Yani BOT haiwezi kuruhusu bank kuoperate katika mazingira ambayo bank haiwez hata kurudisha pesa za wateja ndo mana kuna wakat bank huwa zinafungwa , kulinda hyo issue
Sio mtaalamu wa masuala ya kifedha , lakn nachojua Bank zote Wana kiasi BOT , ambacho kinalinda amana za wateja , endapo bank itaflisika,serikali itaitaifsha , ili kulinda amana za wateja , Yani BOT haiwezi kuruhusu bank kuoperate katika mazingira ambayo bank haiwez hata kurudisha pesa za wateja ndo mana kuna wakat bank huwa zinafungwa , kulinda hyo issue
Kichwa chake kilaini kama cha mbuzi huyu...
kitaliwa fasta sana
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahy pesa angu wanaenda tia wese kwenye vieteee sioHiyo mara nyingi huwa wanapewa kipaombele watu wenye bilioni kadhaa,tena huwa walilipwa nusu baada ya kusota sana mahakamani!,kama wewe ulikuwa na tumilioni kadhaa inajumlishwa tu kwenye tozo na kwenye pesa za kampeni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila jf kuna watu wanakatisha tamaa atarii kumbuka hii issue tunaingia makataba wakienda kinyume na makubaliano nawafungulia mashtaka 14% leteni mpungaHakuna benki yenye uwezo wa kutoa asilimia 14 Tanzania kwa mwaka ,haipo.kwa vigezo vyote
Kajilipue mwenyewe na ubwege wako ili usije kupiga yowe humu ukilizwa
[emoji23][emoji23]Kichwa chake kilaini kama cha mbuzi huyu...
kitaliwa fasta sana
Kila la kheri ,urudi kutupa ushuhuda[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%
nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB
kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani
hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
Azania huiamini wakati ni bank ya Serikali ipo chini ya mifuko ya jamii..azania bank Hela ipo salama mkuu..na bank ili ifunguliwa inakuwa na reserved cash BOT hivyo hadi ipate licence lazima iwe imetimiza vigezoHatar kiongozi ,mm Ela naek NMB,CRDB,EQUITY,NBC. izo zilizobaki CJUI diamond,e commerce,kmc,finca ,znaweza filisika mda wowote na muhusika kwenda kulilia chooni[emoji28][emoji28][emoji28]
Acha ujinga bora uchukue million 10 ufungue office ya mikopo ndan ya miezi 6 pesa ina uhakika wa kurud na kubaki unakula faida narudia acha ujinga yaaan uweke 50m kwa return ya 7m kwa miez 12 huo ni uzwazwa amkaaaaa amkaaaaaa amkaaaaaaaaaaaaa[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%
nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB
kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani
hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
Yani unachokifany ni sawa na alienunua pikipik 3 za haojue kwa 7.5m afu akatoa mkataba zikamletea faida ya 6m na pesa yake kurud afu wew unatak uweke 50m kwa return ya kijinga kam hiyo[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%
nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB
kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani
hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote