Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%

nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB

kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani

hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
Hakuna benki yenye uwezo wa kutoa asilimia 14 Tanzania kwa mwaka ,haipo.kwa vigezo vyote

Kajilipue mwenyewe na ubwege wako ili usije kupiga yowe humu ukilizwa
 
nimekusoma mkuu ngoja nifatilie bank zalizofilisika hapa tanznaia what happened behind b.o.t and bank member

but unazidi kunitia moyo mkuu
Sio mtaalamu wa masuala ya kifedha , lakn nachojua Bank zote Wana kiasi BOT , ambacho kinalinda amana za wateja , endapo bank itaflisika,serikali itaitaifsha , ili kulinda amana za wateja , Yani BOT haiwezi kuruhusu bank kuoperate katika mazingira ambayo bank haiwez hata kurudisha pesa za wateja ndo mana kuna wakat bank huwa zinafungwa , kulinda hyo issue
Reserve reqirement haina uhusiano na refund za amana za wateja. Amana za wateja hulindwa na kitu inaitwa Insurance deposit, hii inawajibika na fidia pale bank inapofungwa kutokana na mwenendo mbovu ulioathiri hiyo reserve requirement.

Fidia yake huja kwa principle ngumu kidogo, inasema kuwa tutalipa wateja wenye amana kati ya 1mil -5mi kwa kuwapatia maximum amount 1.5mil. Wenye amana zaidi ya kiasi kilichoainishwa, mnaenda na maji.
 
Sio mtaalamu wa masuala ya kifedha , lakn nachojua Bank zote Wana kiasi BOT , ambacho kinalinda amana za wateja , endapo bank itaflisika,serikali itaitaifsha , ili kulinda amana za wateja , Yani BOT haiwezi kuruhusu bank kuoperate katika mazingira ambayo bank haiwez hata kurudisha pesa za wateja ndo mana kuna wakat bank huwa zinafungwa , kulinda hyo issue

Hiyo mara nyingi huwa wanapewa kipaombele watu wenye bilioni kadhaa,tena huwa walilipwa nusu baada ya kusota sana mahakamani!,kama wewe ulikuwa na tumilioni kadhaa inajumlishwa tu kwenye tozo na kwenye pesa za kampeni
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwahy pesa angu wanaenda tia wese kwenye vieteee sio
 
Hakuna benki yenye uwezo wa kutoa asilimia 14 Tanzania kwa mwaka ,haipo.kwa vigezo vyote

Kajilipue mwenyewe na ubwege wako ili usije kupiga yowe humu ukilizwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila jf kuna watu wanakatisha tamaa atarii kumbuka hii issue tunaingia makataba wakienda kinyume na makubaliano nawafungulia mashtaka 14% leteni mpunga

hofu yangu bank isipigwe ban na BOT kwa mwenendo mbaya.
 
[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%

nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB

kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani

hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
Kila la kheri ,urudi kutupa ushuhuda
 
Hatar kiongozi ,mm Ela naek NMB,CRDB,EQUITY,NBC. izo zilizobaki CJUI diamond,e commerce,kmc,finca ,znaweza filisika mda wowote na muhusika kwenda kulilia chooni[emoji28][emoji28][emoji28]
Azania huiamini wakati ni bank ya Serikali ipo chini ya mifuko ya jamii..azania bank Hela ipo salama mkuu..na bank ili ifunguliwa inakuwa na reserved cash BOT hivyo hadi ipate licence lazima iwe imetimiza vigezo
 
[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%

nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB

kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani

hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
Acha ujinga bora uchukue million 10 ufungue office ya mikopo ndan ya miezi 6 pesa ina uhakika wa kurud na kubaki unakula faida narudia acha ujinga yaaan uweke 50m kwa return ya 7m kwa miez 12 huo ni uzwazwa amkaaaaa amkaaaaaa amkaaaaaaaaaaaaa
 
[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%

nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB

kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani

hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
Yani unachokifany ni sawa na alienunua pikipik 3 za haojue kwa 7.5m afu akatoa mkataba zikamletea faida ya 6m na pesa yake kurud afu wew unatak uweke 50m kwa return ya kijinga kam hiyo
 
mnazidi kunifungulia uwanja mpana wa kufikilii kwa kina
 
Back
Top Bottom