Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
sitaki hata kusikia habari za kununua mapikipiki kumpa mtu sijuiii aniletee pesa hapana mkuuYani hata ukichukua million 32 ukachukua bajaji 4 ukatoa mkataba wa 2 years kwa madereva kila siku wanaleta cashing ya 20,000 × 4 =80,000
kwa miezi 24 ...inakuja total almost 55 million ukitoa na capital yake ....faida kama 20million.
ACHA UJINGA CHUKUA BAJAJI 4 KATIA COMPREHENSIVE INSURANCE CHENJI KULA BHATA NA TOTOS
utakuja kunishukuru
nitafatilia kiundani hiiAcha ujinga bora uchukue million 10 ufungue office ya mikopo ndan ya miezi 6 pesa ina uhakika wa kurud na kubaki unakula faida narudia acha ujinga yaaan uweke 50m kwa return ya 7m kwa miez 12 huo ni uzwazwa amkaaaaa amkaaaaaa amkaaaaaaaaaaaaa
[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%
nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB
kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani
hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote
Finca ndo wapi
Onana na wenye offc za mikopo wakupe madininitafatilia kiundani hii