Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

Weka. Microfinance bank ni ngumu sana kufilisika kwa vile loan size ni ndogo.
Ingekuwa ni corporate bank sikushauri. Corporate bank inaweza kumkopesha mteja mmoja bilioni 30. Akizama, anazamisha benki nzima.
 
Yani hata ukichukua million 32 ukachukua bajaji 4 ukatoa mkataba wa 2 years kwa madereva kila siku wanaleta cashing ya 20,000 × 4 =80,000
kwa miezi 24 ...inakuja total almost 55 million ukitoa na capital yake ....faida kama 20million.

ACHA UJINGA CHUKUA BAJAJI 4 KATIA COMPREHENSIVE INSURANCE CHENJI KULA BHATA NA TOTOS

utakuja kunishukuru
 
sitaki hata kusikia habari za kununua mapikipiki kumpa mtu sijuiii aniletee pesa hapana mkuu

sio kila anaeweka pesa bank fixed hana biashara, ninazo biashara zinaniingizia pesa nzuru tu.

huku fixed tunatafuta ziadaa tu pesa isikae bure bank
 
Weka. Microfinance bank ni ngumu sana kufilisika kwa vile loan size ni ndogo.
Ingekuwa ni corporate bank sikushauri. Corporate bank inaweza kumkopesha mteja mmoja bilioni 30. Akizama, anazamisha benki nzima.
sawa mkuu
 
[emoji847][emoji847][emoji847] wanasema uwoga wako ndio umasikini wako hizi 14% ndo zanitoa roho wakati Nmb wao 6%

nataka kujiripua kwa mwaka 1 tu nibebe milion 7 zao nisepeee nirudi NMB

kinachonipa moyo hawa jamaa wana matawi 22 duniani

hapa Tanzania wameingia tangu 1998 hakuna mbambamba yoyote

Upo sahihi, hawawezi kufilisika ndani ya mwaka mmoja na hapo utakuwa tayari umeshanyaka 7m.
 
Back
Top Bottom