American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
We unataka ufanyeje? Yaani ukishaweka unafanyeje then? Maana me PayPal ninavoelewa sio kama unavomaanisha wewe. Ila ngoja wataalamu zaidi waje.
Kuweka inakubari kupokea ndiyo haipokea labda kama ni refundKwa Tanzania BOT wamezuia,PayPal hawaruhusu kuweka au kutoa.
Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.
Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
nataka kufanya malipo online, unaweza kunifundisha jinsi ilivyo?
Duh kwa hiyo haiwezekani kabisa?Kwa Tanzania BOT wamezuia,PayPal hawaruhusu kuweka au kutoa.
Unatumia kadi ya bank gani? Ni MasterCard?
Basi fuata ushauri wa kaka apo juuNatumia Mpesa mastercard
Tumie hiyo njia otherwise ukilink master card ya bank hizo codempaka utakatafute bank statement ndo utazipata sasa itakuchukua muda wakat mpesa master card au airtel money ni hapo hapo tu unazipokea kwenye msgAsante hebu nifanye
duh kwa hiyo haiwezekani kabisa?
Asante mzee nashikuru sanaTumie hiyo njia otherwise ukilink master card ya bank hizo codempaka utakatafute bank statement ndo utazipata sasa itakuchukua muda wakat mpesa master card au airtel money ni hapo hapo tu unazipokea kwenye msg
Pia anaweza kufungua account Bank ya ABC; kama upo mjini kwa kuwa haina matawi mengi (haina longo longo)Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.
Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
Umeipataje hiyo line mkuu..?Wakuu msaada Nina lain ya safari com sijajua jinsi ya kufungua account ya PayPal account kuna malipo nataka kufanya
Wakuu msaada Nina lain ya safari com sijajua jinsi ya kufungua account ya PayPal account kuna malipo nataka kufanya
Hii laini kuipata bei yake kama ni Elfu 20 hadi 25 kuna Hawa jamaa wanacheza Forex wengi wanazo hizi laini wanauzaUmeipataje hiyo line mkuu..?
Zipo sana mjini Dsm au Dom Deal na hawa ndugu zetu wanaocheza Forex.Mkuu na Mimi natafuta line ya safaricom!