Nataka kuweka pesa kwenye Paypal, nitumie njia gani

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
Habari wadau,

Nahitaji kuweka pesa kwenye, paypal accont, naombeni njia itakayonisaidia kufanikisha hili maana nimejaribu kuangalia mpesa wao wana mastercard tu

Asante.
 
We unataka ufanyeje? Yaani ukishaweka unafanyeje then? Maana me PayPal ninavoelewa sio kama unavomaanisha wewe. Ila ngoja wataalamu zaidi waje.
 
Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.

Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
 
Nataka kufanya malipo online, unaweza kunifundisha jinsi ilivyo?
We unataka ufanyeje? Yaani ukishaweka unafanyeje then? Maana me PayPal ninavoelewa sio kama unavomaanisha wewe. Ila ngoja wataalamu zaidi waje.
 
Kwa Tanzania BOT wamezuia,PayPal hawaruhusu kuweka au kutoa.
 
Asante hebu nifanye
Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.
Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
 
Asante hebu nifanye
Tumie hiyo njia otherwise ukilink master card ya bank hizo codempaka utakatafute bank statement ndo utazipata sasa itakuchukua muda wakat mpesa master card au airtel money ni hapo hapo tu unazipokea kwenye msg
 
Asante mzee nashikuru sana
 
Wakuu msaada Nina lain ya safari com sijajua jinsi ya kufungua account ya PayPal account kuna malipo nataka kufanya
 
Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.

Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
Pia anaweza kufungua account Bank ya ABC; kama upo mjini kwa kuwa haina matawi mengi (haina longo longo)

Hapo unatakiwa uwe na shs 20,000 ya kufungulia; baada ya hapo unailink na paypal na kuweza kununua chochote bila makato ya bank ILA angalia exchange rate yao uone kama ni rafiki kwa maana hela yako hubadilishwa kuwa Dola kwanza kabla ya kununua..
 
Back
Top Bottom