American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
- Thread starter
-
- #21
Wakuu msaada Nina lain ya safari com sijajua jinsi ya kufungua account ya PayPal account kuna malipo nataka kufanya
Samahani ni BOT wamezuia au Paypal ndiyo hawajatupa option ya kupokea pesa?Duh kwa hiyo haiwezekani kabisa?
Ok mkuu nimekusoma.Zipo sana mjini Dsm au Dom Deal na hawa ndugu zetu wanaocheza Forex
Samahani ni BOT wamezuia au Paypal ndiyo hawajatupa option ya kupokea pesa?
Na je mtu akikufungulia Marekani au nchi nyingine ambako inakubali kupokea fedha na ukapokelea huku je ni makosa?
Shukrani mkuu, sasa huwa naskia kuwa ukiongea na mtu nje kama unafahamiana anakusaidia.Nina shida pia ya kuwa na account nao, nijuze kama ni kosa kisheria,si unajua tabu za huku kwetu kuulizana hiyo pesa inatoka wapi e.t.cNi hv mkuu,mwanzo PayPal Ilikuwa ina2mika tz na w2 wengi walikuwa na account zao lakini kutokana na Sheria zilizowekwa na BOT PayPal walishindwa kukubaliana nazo kwaiyo wakazuia access TZ.
Hii anaweza mtu kukuingizia oesa via paypal account yako to mpesa mastercard ?Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.
Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
Why?Kwa Tanzania BOT wamezuia,PayPal hawaruhusu kuweka au kutoa.
Sijakuelewa mkuuHii anaweza mtu kukuingizia oesa via paypal account yako to mpesa mastercard ?
Anaweza mtu kukulipa kupitia paypal ns ikaja pesa mpaka mpesa?Sijakuelewa mkuu
Kama umeifungua kama ni paypal enya na ukaiunga na safaricom mpesaAnaweza mtu kukulipa kupitia paypal ns ikaja pesa mpaka mpesa?
Mfano nina laini ya safaricom mda wa maongezi naongeza vipi sasa,,nataka niagize mtu aniletee,,hii nchi urasimu sana,mpaka tunawajibika kutumia line za nchi jirani kufanya online businesskama umeifungua kama ni paypal enya na ukaiunga na safaricom mpesa
Zinakuja na muda wa maongezi halafu si wajua kama vocha unaweza nunua via mpesa. Tafuta smart skillz wanauza 15000 tu pale sinzaMfano nina laini ya safaricom mda wa maongezi naongeza vipi sasa,,nataka niagize mtu aniletee,,hii nchi urasimu sana,mpaka tunawajibika kutumia line za nchi jirani kufanya online business
Inakuwa na jina la mkenya?Zinakuja na muda wa maongezi halafu si wajua kama vocha unaweza nunua via mpesa. Tafuta smart skillz wanauza 15000 tu pale sinza
Yes, inakuja pia na tarehe yake ya kuzaliwa maana ukiunga paypal details inabidi ziwe sawa na za usajili wa line pia na namba ya kitambulishoInakuwa na jina la mkenya?
Hii nzuri sana hata kuitumia jf na mitandao mingine,,Yes, inakuja pia na tarehe yake ya kuzaliwa maana ukiunga paypal details inabidi ziwe sawa na za usajili wa line pia na namba ya kitambulisho
Shukrani mkuu, sasa huwa naskia kuwa ukiongea na mtu nje kama unafahamiana anakusaidia.Nina shida pia ya kuwa na account nao, nijuze kama ni kosa kisheria,si unajua tabu za huku kwetu kuulizana hiyo pesa inatoka wapi e.t.c
Kwani uandike card?Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.
Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
Sijakuelewa