Nataka kuweka pesa kwenye Paypal, nitumie njia gani

Duh kwa hiyo haiwezekani kabisa?
Samahani ni BOT wamezuia au Paypal ndiyo hawajatupa option ya kupokea pesa?
Na je mtu akikufungulia Marekani au nchi nyingine ambako inakubali kupokea fedha na ukapokelea huku je ni makosa?
 
Ni hv mkuu,mwanzo PayPal Ilikuwa ina2mika tz na w2 wengi walikuwa na account zao lakini kutokana na Sheria zilizowekwa na BOT PayPal walishindwa kukubaliana nazo kwaiyo wakazuia access TZ.
 
Shukrani mkuu, sasa huwa naskia kuwa ukiongea na mtu nje kama unafahamiana anakusaidia.Nina shida pia ya kuwa na account nao, nijuze kama ni kosa kisheria,si unajua tabu za huku kwetu kuulizana hiyo pesa inatoka wapi e.t.c
 
Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.

Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
Hii anaweza mtu kukuingizia oesa via paypal account yako to mpesa mastercard ?
 
kama umeifungua kama ni paypal enya na ukaiunga na safaricom mpesa
Mfano nina laini ya safaricom mda wa maongezi naongeza vipi sasa,,nataka niagize mtu aniletee,,hii nchi urasimu sana,mpaka tunawajibika kutumia line za nchi jirani kufanya online business
 
Zinakuja na muda wa maongezi halafu si wajua kama vocha unaweza nunua via mpesa. Tafuta smart skillz wanauza 15000 tu pale sinza
 
Inakuwa na jina la mkenya?
Yes, inakuja pia na tarehe yake ya kuzaliwa maana ukiunga paypal details inabidi ziwe sawa na za usajili wa line pia na namba ya kitambulisho
 
Hii nzuri sana hata kuitumia jf na mitandao mingine,,
 
Shukrani mkuu, sasa huwa naskia kuwa ukiongea na mtu nje kama unafahamiana anakusaidia.Nina shida pia ya kuwa na account nao, nijuze kama ni kosa kisheria,si unajua tabu za huku kwetu kuulizana hiyo pesa inatoka wapi e.t.c

Ni Kweli,Ila kuna njia nimetumia!lakin Bado sija jarib kuweka au kutoa lakin matumaini yapo,nimetumia VPN pia kunasite ambayo ukiingia Ina fake information zako kuanzia jina, email,zip code,location,driving licence,bank card Kama Haina na etc so ukiingiza hizo info account yako itaonekana registered USA au any country so utakuwa free kufanya transaction.
 
Fungua akaunti yako ya paypal. tengeneza mpesa au airtel money mastercard. nenda kwenye link card weka master card ya mpesa au airtel money ila hakikisha ina kiasi kisichopungua 1.68$ wakati unailink kitakatwa ila kitarudishwa baadae.

Utapokea msg ina code kwenye sim chukua hizo code weka ili kuiactivate kwenye paypal basi utakuwa ukitaka fanya manunuzi au lipia kitu waweka ela mpesa au airtel money mastercard uliyoiilink then unaingia paypal kulipia ukiulizwa njia unachagua by card ela paypal itakuwa inaichukua huko.
Kwani uandike card?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom