Nataka kuweka umeme kwenye godown

Nataka kuweka umeme kwenye godown

Distribution board linaweza likaangukia mpaka laki 2 la three phase na njia zake

Cable za 1.5 na 2.5 twin rola zima zinauzwa elfu 70 mpaka laki kulingana na mkoa uliopo

Bado vifaa vidogovidogo kama taa na switch,conduit pipe,corner,box n.k
 
kAma hyo wiring ni kwa taa tu,hyo hela ni ndefu,kama godown litakuwa na mashine za umeme wa 3 phase ni sahihi
 
Back
Top Bottom