Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

GoLC

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2025
Posts
268
Reaction score
466
Za leo wakuu
Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka?

Natanguliza shukrani zangu
 
Kwanza tambua jf haifanyi malipo yoyote kwa content creators, ila hii ni platform nzuri kama uta itumia vizuri.

01, uta vutia wanunuzi wa kazi zako nyingine.

02, kazi zako zita enda viral na kusomwa na watu wengi.

03, uta pata direct feedback kuhusu uandishi wako, pamoja na nimi cha kuongeza au kupunguza.

04, uta jifunza kuwa na moyo wa chuma, oya uki anza zile za msi nisumbue, humu wana kunyoosha chap.
 
Pamoja mkuu. Nimekusoma
 
Msingi wa swali lako je utapata mademu wazuri?
Inategemea na aina ya story uliyotunga kama ya kichawi basi mademu hupati
 
Back
Top Bottom