Bashite amefanya niombe Taiga Stars ifungwe - jambo ambalo halijawahi kutokea maishani mwangu. Na kweli tumefungwa. Nimefurahi mno!Yaani Bashite katupunguzia sana morali na Taifa stars kwa Maneno yake ya hovyohovyo
Kwa hiyo ulitaka na wewe ukachezeeNataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi tulivyoona tunatengwa ikabidi tuwaachie Tim Yao. Sasa wamefungwa wanataka kujifanya ni Tim ya watanzania ndio imefungwa. Kwakweli Viongozi wa chama hiyo ni Tim yenu wala sisi hatuhusiki nayo.
Hatulazimishi. Tulitaka tusibaguane kiitikadi wala kichama katika maswala muhim ya nchi. Kitendo cha kiibatiza Tim ya taifa na kuifanya ya CCM maana yake ni kuwaambia watu hawanahaja ya kuisuport itasaportiwa na chama.Kwa hiyo ulitaka na wewe ukachezee
Mbona ninyi ndo mnalazimisha kila kitu kionekane siasa
Nataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi tulivyoona tunatengwa ikabidi tuwaachie Tim Yao. Sasa wamefungwa wanataka kujifanya ni Tim ya watanzania ndio imefungwa. Kwakweli Viongozi wa chama hiyo ni Tim yenu wala sisi hatuhusiki nayo.
Ni lini ubatizo huo ulifanyika? Au kwa kua Makonda aliongoza hamasa. Niletee video inayoonesha kua timu ya taifa ikibatizwa na kua ya ccm rasmi. Vinginevyo una chuki tuu za kisiasa kumuona dogo ktk hamasa. Hivi wewe unavyoona kwa viwango vya wachezaji wa Tstars tupo AFCON kushiriki tu au kushindana hata kama watu 10,000 wangepewa tiketi kwenda Misri bure kushangilia?Hatulazimishi. Tulitaka tusibaguane kiitikadi wala kichama katika maswala muhim ya nchi. Kitendo cha kiibatiza Tim ya taifa na kuifanya ya CCM maana yake ni kuwaambia watu hawanahaja ya kuisuport itasaportiwa na chama.
Angalia hiyo itakusaidiaNi lini ubatizo huo ulifanyika? Au kwa kua Makonda aliongoza hamasa. Niletee video inayoonesha kua timu ya taifa ikibatizwa na kua ya ccm rasmi. Vinginevyo una chuki tuu za kisiasa kumuona dogo ktk hamasa. Hivi wewe unavyoona kwa viwango vya wachezaji wa Tstars tupo AFCON kushiriki tu au kushindana hata kama watu 10,000 wangepewa tiketi kwenda Misri bure kushangilia?
Acha porojo we binti video hiyo hapo imewekwa post #9Ni lini ubatizo huo ulifanyika? Au kwa kua Makonda aliongoza hamasa. Niletee video inayoonesha kua timu ya taifa ikibatizwa na kua ya ccm rasmi. Vinginevyo una chuki tuu za kisiasa kumuona dogo ktk hamasa. Hivi wewe unavyoona kwa viwango vya wachezaji wa Tstars tupo AFCON kushiriki tu au kushindana hata kama watu 10,000 wangepewa tiketi kwenda Misri bure kushangilia?
Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuuAngalia hiyo itakusaidiaView attachment 1140676
Ndio maana imefungwa na watanzania hawaoni uchungu kwasababu ni Tim ya CCM ndio imefungwaSasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
Ndio maana imefungwa na watanzania hawaoni uchungu kwasababu ni Tim ya CCM ndio imefungwa
Unajua tafiti wewe inavyofanywa.? Umekuwa mchama paka unatia kinyaa. Nikuambie tu mimi ninakadi ya CCM na nimjumbe wa almasauri kuu lakini inapakuja mambo ya kitaifa tukaifanya ya kichama nakaa pembeni maana najua mipaka ya chama. Lazima tusiharibu vitu vinavyounganisha utaifa kwa maslai ya chama. Mbaya zaidi unaweza jikuta ni kakereketwa tu ambae hata hatukulipi.Hizo tafiti umezifanyia wapi kwamba Watanzania hawaoni uchungu