Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
Kinachokera ni mnamsema sema saana na ndicho kitu anachokipenda, mnampa saana umaarufu. Huyu siku akija kujitwist kidogo tuu anakua zaidi ya alipo maana anajua kuwachezesha ngomaHasira sina ila jamaa kaharibu mudi ya wapenzi wa mpira mpaka watu wanageuziana silaha,ushamba kitu kibaya sana matokeo yake kavuna aibu.