Nataka kuweka vitu sawa timu ya watanzania haijafungwa bali CCM ndio iliyofungwa

Nataka kuweka vitu sawa timu ya watanzania haijafungwa bali CCM ndio iliyofungwa

Hasira sina ila jamaa kaharibu mudi ya wapenzi wa mpira mpaka watu wanageuziana silaha,ushamba kitu kibaya sana matokeo yake kavuna aibu.
Kinachokera ni mnamsema sema saana na ndicho kitu anachokipenda, mnampa saana umaarufu. Huyu siku akija kujitwist kidogo tuu anakua zaidi ya alipo maana anajua kuwachezesha ngoma
 
1140776

Statistics ndio hizo. Kenya walikuwa technically juu kimchezo. Sasa nyie endeleeni na siasa zenu zilizovunda za kupigana mieleka jalalani.
 
Kila mtu alitarajia mwisho mbaya kwa timu yetu baada ya Bashite kutia mguu tu
Jamaa ana gundu acha kabisa, unaweza chemsha maharage yako vizuri tu kwa ajili msosi wa jioni sasa jamaa akija akagusa tu sufuria tena kwa nje maharage yote yanachacha. 😯😯😯😯😯 hii si balaa hii!!!
 
Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
Haleluya Amen tumefungwa

Hypocrites ni tabia mbaya
Unawakanya wengine wakati wewe unafanya hilo unalokanya
Hii nchi ni ya kwetu sote
Huu ubaguzi mnaouhubiri utaliangamiza Taifa siku si nyingi
Tangazeni Upendo Umoja na Undugu
Sisi sote ni ndugu Kwa nini tuwe maadui
Tunayaona yaliyotokea nchi jirani
Uzao wetu utaishi kwa mateso sana
 
Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
98% ni ccm ndio maana mmeshindwa kama ambavyo hua mnashindwa kwenye kura mnatumia police mlifikir na huko mngetumia hao police wenu mmegongwa hangaikeni nalitimu lenu.
 
Back
Top Bottom