afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
Salaam wadau, hoja yangu ni kuomva msaada wa ushauri....as of recent situation ya uchumi wa nchi na makampuni ya sector mbalimbali kuyumba yumba...
JE ni muda mzuri kununua hisa au timing sio nzuri...je na kama nataka kununua hisa ni sector gani inafaa kwa sasa au kampunibza aina gani zinafaa kwa sasa angalu kwa sekta zake......
Nimekuwa interested na hisa..japo nimeona jarida moja faida za CRDB zilishuka kwa mwaka 2016 ikimaanisha gawio limekuwa chini....
Kikubwa ni je ni muda inaofaa kunumua hisa au nisubiri kwanza....kama yes sekta gani mnanishauri kununua.....au la je nisubiri kwa kuangalia kitu gani katika uchumi wa nchi au makampuni....
Shukrani in Advance