Nataka kuwekeza kwenye hisa

Nataka kuwekeza kwenye hisa

Nenda DSE au kwa brokers watakupa maelekezo... Ila kama mtaji wako ni mdogo achana nayo.. Mm huwa naona inawafaa wenye mitaji mikubwa
Mimi mwenyewe nilianza mwaka Jana kujiingiza Kwenye hisa ila sijaona matunda yake.
Kwanza process yake iko very slow,yaani unalipia hela leo halaf unakuja kuzipata hisa baada ya miezi 2 au 3 na hivyo kuifanya pesa yako iwe pending.
Na wakati huo unazipata hizo hisa Bei inakuwa imebadilika yaani huzipati kwa Bei Ile uliyoitarget wewe.
Mimi nilinunua hisa za TPCC na tangu nizipate imepita zaidi ya miezi 6 Bei haijapanda yaani inacheza mle mle.
Kwa mantiki hyo naona ni afadhali hata ningenunua bodaboda pesa yangu ingekuwa imezalisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora uwekeze kwenye saluni za kiume.. Mtaji ni mdogo na usimamizi rahisi .
 
mi nimemnunulia mtoto wangu hisa za vodacom ana miaka 4 najua mpaka akifikisha miaka 18 zitakuwa na thamani kubwa na huo ndio urithi wake
 
Mimi mwenyewe nilianza mwaka Jana kujiingiza Kwenye hisa ila sijaona matunda yake.
Kwanza process yake iko very slow,yaani unalipia hela leo halaf unakuja kuzipata hisa baada ya miezi 2 au 3 na hivyo kuifanya pesa yako iwe pending.
Na wakati huo unazipata hizo hisa Bei inakuwa imebadilika yaani huzipati kwa Bei Ile uliyoitarget wewe.
Mimi nilinunua hisa za TPCC na tangu nizipate imepita zaidi ya miezi 6 Bei haijapanda yaani inacheza mle mle.
Kwa mantiki hyo naona ni afadhali hata ningenunua bodaboda pesa yangu ingekuwa imezalisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hakuna utaratibu mzuri wa kununua hisa NSE- Kenya maana Tanzania nchi imekaa kisangomasangoma sana.
 
Mimi mwenyewe nilianza mwaka Jana kujiingiza Kwenye hisa ila sijaona matunda yake.
Kwanza process yake iko very slow,yaani unalipia hela leo halaf unakuja kuzipata hisa baada ya miezi 2 au 3 na hivyo kuifanya pesa yako iwe pending.
Na wakati huo unazipata hizo hisa Bei inakuwa imebadilika yaani huzipati kwa Bei Ile uliyoitarget wewe.
Mimi nilinunua hisa za TPCC na tangu nizipate imepita zaidi ya miezi 6 Bei haijapanda yaani inacheza mle mle.
Kwa mantiki hyo naona ni afadhali hata ningenunua bodaboda pesa yangu ingekuwa imezalisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa inalipa pale hisa zinapouzwa sokoni kwa Mara ya Kwanza...unaingiza milioni kumi Bei iki-double tu unakula milioni kumi nyingine.. hii ilikuwa kwenye utawala uliopita kwa Sasa hisa sio biashara...Voda toka wameuza haijaongezeka hata Mia.
 
Sikushauri sana ununue hisa kwenye makampuni makubwa unless unapata ushauri kutoka kwa wataalamu wa biashara hizo kama Brother Salum Awadh wa SSC capital yuko vizuri sana

Next nakushauri uwe investor na sio stockist kwa sababu ukiwa investor una uwanja mpana wa kufanya control ya pesa zako
What to do find a small company startup ambayo unaona growth yake ni nzuri ongea nao elewa biashara yao na ingia nao mkataba wakupe share na pia uingie kwenye management ya hyo kampuni ndogo ili kusimamia pesa zako
Mfano unaweza kwenye kwa muuza chips unamuuliza kuhusu mauzo yake na changamoto zake za biashara na pia ww utaona huyu akiboresha kwenye kiti hiki atapata wateja wengi zaidi na faida itaonekana so unakaa nae chini unaweka pesa zako unaboresha biashara yake na ww unapata faida kutokana na biashara yake kuimarika (kama alikuwa anafunga chips kwa rambo mpe foil [emoji3]) wateja wataongezeka

Goo into agriculture kuna vijana wana utaalamu wa kilimo lakn hawana mtaji unaweza kuwatafuta ukakaa nao unawapa capital mnaingia mkataba wao wanasimamia huku ww ukifanya monitoring na kinachopatikana mnagawana

Na biashara nyingine nyingi ambazo unaweza kuona growth yake na uweke pesa yako
Note: usije ukawekeza kwenye biashara ambayo faida yake ni ndogo sana kwa mfumo huu

Pia unaweza kuwa angel investor , venture capitalist etc

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako ni mazuri sana na yameenda shule. Ila kuna shida moja. Watanzania siyo waaminifu kabisa. Inahitajika uangalifu na ufuatiliaji wa hali ya juu ili kufanikiwa katika ulichokishauri. Niliwahi kufanya hili la jambo na jamaa fulani, biashara ikachangaja kweli lakini kosa langu sikuwa namfuatilia mara kwa mara. Fedha yangu yote ikapotea. Jamaa alipoona mambo yamechanganya akaanzisha biashara nyingine kwa siri na ile ikaonekana kama imefilisika. Ila kwa laana aliyoipata naye ile baishara yake mpya ikaja kuyumba sana.
 
Huwa inalipa pale hisa zinapouzwa sokoni kwa Mara ya Kwanza...unaingiza milioni kumi Bei iki-double tu unakula milioni kumi nyingine.. hii ilikuwa kwenye utawala uliopita kwa Sasa hisa sio biashara...Voda toka wameuza haijaongezeka hata Mia.
baasi awamu hii sihaNGaiki kwanza na hisa
 
Back
Top Bottom