mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mimi mwenyewe nilianza mwaka Jana kujiingiza Kwenye hisa ila sijaona matunda yake.Nenda DSE au kwa brokers watakupa maelekezo... Ila kama mtaji wako ni mdogo achana nayo.. Mm huwa naona inawafaa wenye mitaji mikubwa
Kwanza process yake iko very slow,yaani unalipia hela leo halaf unakuja kuzipata hisa baada ya miezi 2 au 3 na hivyo kuifanya pesa yako iwe pending.
Na wakati huo unazipata hizo hisa Bei inakuwa imebadilika yaani huzipati kwa Bei Ile uliyoitarget wewe.
Mimi nilinunua hisa za TPCC na tangu nizipate imepita zaidi ya miezi 6 Bei haijapanda yaani inacheza mle mle.
Kwa mantiki hyo naona ni afadhali hata ningenunua bodaboda pesa yangu ingekuwa imezalisha.
Sent using Jamii Forums mobile app