Nataka kwenda Dubai au China kununua simu nipeni maelekezo mliowahi kwenda

Faiza ni yule demu wa sugu sio?

Yule siwezi muamini hata sekunde.
 
Kwa hiyo unamshauri akanunue simu za kuuza kwa mafungu au kilo?
 
Asante sana bos kwamawazo yako nategemea kupata mengi zaid kwako maana mimi bado mgeni kabisa
 
Asante nayaamini maneno yako pia hongera sana hapo ulipofika inakuwaje usafiri kwenda nakurud pia malaz itacost kama bei gani
 
good idea...
 

Boss umeongea Point kubwa sana
Kwa mfano
1. Nauli to China [emoji630] (Go & Return) Ticket [emoji612] ni kiasi gani?
2. Malazi ni kiasi gani per night ( equivalent na Lodge zetu huku za 25,000-30,000 kwa standards)
3. Gharama ya Mzigo usafiri mpaka unaupata Tanzania [emoji1241]
4. TRA Cost ya nguo labda za 5 million
5. Kuna any other cost tofauti na hizo hapo juu
6. Etc ??
 
Kamuone jamaa wa silent ocean
Nakutumia namba pm
Ila ujiandae kuhojiwa takukuru ela umetoa wapi
Mambo ni mengi njoo pm nikuambie ila Mimi mvivu kuandika ingekuwa kuna option ya voice ningeongea

Nishawhi kuwasmbia mods waiboreshe jf waweke option ya sauti ila kuna mbwa mmoja akaropoka akauliza unataka voice note we kasuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…