Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Lile sakata lako na wale madogo waliokufurusha kule Mwitongo ulishalimaliza? Ujue wanakusubiri wamalizane na wewe.Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Hawa vijana wa Baba wa Taifa wanfurahisha SanaLile sakata lako na wale madogo waliokufurusha kule Mwitongo ulishalimaliza? Ujue wanakusubiri wamalizane na wewe.
Blaza Andy anazingua sanaHawa vijana wa Baba wa Taifa wanfurahisha Sana
Utaweza?Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Utaweza?View attachment 3389115Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
😹😹😹Lile sakata lako na wale madogo waliokufurusha kule Mwitongo ulishalimaliza? Ujue wanakusubiri wamalizane na wewe.
Njoo.Utanikuta Kukirango nikusindikize ukachukue fomu.Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Aahh.. kazi sana ni haki yako nenda mkuuNataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Madaraka hatakupigia kuraNataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Hutakosa kukosa ufadhili, pambana kwa penye nia pana njia.Lile dirisha la kuchukua fomu sijui linafungwa lini?
Siwezi kuwahi kwenda kule.
Nakosa mijeethu ya kunifadhili.
Kama unaona mbali na utachelewa gombea tuu ata kinondoniLile dirisha la kuchukua fomu sijui linafungwa lini?
Siwezi kuwahi kwenda kule.
Nakosa mijeethu ya kunifadhili.
Ngoja weekend moja nipite hapo bar yenu mwitongoNataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.