Nataka kwenda kijijini kuchukua fomu ya ubunge

Lile dirisha la kuchukua fomu sijui linafungwa lini?
Siwezi kuwahi kwenda kule.
Nakosa mijeethu ya kunifadhili.
 
Nataka kuchukua fomu kugombea ubunge Butiama,,ili niweze kulitumikia Taifa.
Kwa hiyo nataka kwenda Butiama kuchukua fomu.
Ngoja weekend moja nipite hapo bar yenu mwitongo
Nichape 1,2

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…