Nataka kwenda kula bata mkoani nikatalii mkoa gani? Kwetu dar

Nataka kwenda kula bata mkoani nikatalii mkoa gani? Kwetu dar

Gangilonga jiwe unaweza panda juu na kuona mji mzima, Mto Ruaha na kula bata na mademu wa Chuo shooters!
Sawa...ngoja nitakuja kwenda kwenye hilo jiwe Gangilonga.

Shooters nimewahi kufika, ina sehemu ndogo sana.
 
Taja hata vitatu tu
Makumbusho ya mkwawa na ngome yake,ismila stone age,Ruaha national park,kwenye kaburi la mwamwindi(aliyempiga risasi Mkuu wa mkoa),kijungu jiko,daraja la mungu,kimondo,kiteputepu,ziwa ngosi, nitaendelea baadae
 
Sawa...ngoja nitakuja kwenda kwenye hilo jiwe Gangilonga.

Shooters nimewahi kufika, ina sehemu ndogo sana.


Iringa pia ni Mji mdogo, hivyo inatosha, pili kama unapenda kuendesha baiskeli na una mountain bike unaweza kupanda mlima ktk chini kabisa huku kwenye Mto mpaka juu Iringa City, ni bonge la zoezi nimefanya sana, lkn ukiwa na mountain bike ndo inanoga!
 
Hey guys mm ni mzaliwa wa dar kukua dar na naishi dar nataka nitoke kidogo kutalii
Niende mkoa gani???ni mkoa gani nzuri una vivutio vizuri zaidi kwa kutalii na kula bata???

Nimeishiwa na pozi kiukweli nashindwa hata nichague wapi!!
Una jinsia ipi?
 
Aiseee aaikudanganye mtu,karibu sana Iringa pia utafika mpaka Mbeya!. Utakuwa na utalii na mapumziko mazuri kabisa. Nitakuorodheshea vivutio zaid zaid ya 20 ukanda huu ambavyo havitangazwi lkn ukifika na kujionea kamwe hutojutia muda wako na pesa
Asante sana mkuu kwa week niandae budget ya kias gn?
 
Back
Top Bottom