Taja hata vitatu tuKuna vingi tu isipokuwa (Msigwa) inategemea na hobby yako!
Post na 10 $ 11 tumevitaja atakavyopata iringa"""Iringa City""" kuna nini?
Taja hata vitatu tu
Sawa...ngoja nitakuja kwenda kwenye hilo jiwe Gangilonga.Gangilonga jiwe unaweza panda juu na kuona mji mzima, Mto Ruaha na kula bata na mademu wa Chuo shooters!
Makumbusho ya mkwawa na ngome yake,ismila stone age,Ruaha national park,kwenye kaburi la mwamwindi(aliyempiga risasi Mkuu wa mkoa),kijungu jiko,daraja la mungu,kimondo,kiteputepu,ziwa ngosi, nitaendelea baadaeTaja hata vitatu tu
Sawa...ngoja nitakuja kwenda kwenye hilo jiwe Gangilonga.
Shooters nimewahi kufika, ina sehemu ndogo sana.
[emoji23][emoji23] kuna maeneo mazuri ya kutalii mkuuUnamtakia mema ?
Una jinsia ipi?Hey guys mm ni mzaliwa wa dar kukua dar na naishi dar nataka nitoke kidogo kutalii
Niende mkoa gani???ni mkoa gani nzuri una vivutio vizuri zaidi kwa kutalii na kula bata???
Nimeishiwa na pozi kiukweli nashindwa hata nichague wapi!!
Asante sana mkuu kwa week niandae budget ya kias gn?Aiseee aaikudanganye mtu,karibu sana Iringa pia utafika mpaka Mbeya!. Utakuwa na utalii na mapumziko mazuri kabisa. Nitakuorodheshea vivutio zaid zaid ya 20 ukanda huu ambavyo havitangazwi lkn ukifika na kujionea kamwe hutojutia muda wako na pesa
Angalia avatar yake huyo Ni mtoto Wa Mombasa inawezekana hata huko kutalii anaenda na bwanaUnamtakia mema ?