Naongezea hapo Manyara...Olduvai Gorge anaingia Serengeti anatokezea geti la Fort Ikoma anaingia Nata ....Nyamswa ....Butiama kwa Baba wa Taifa (Makumbusho) kisha anaingia Musoma anashangaa shangaa siku moja anamalizia Mwanza. Kama ni mwezi huu wa August anakuwa amefanya na booking kabisa ya kukata utepe ya Dreamliner mpya anaruka zake back to DarArusha- Tarangire, Ngorongoro crater halafu unaweza kuhamia Serengeti N P ukitokea Ngorongoro hutajuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia avatar yake huyo Ni mtoto Wa Mombasa inawezekana hata huko kutalii anaenda na bwana
Aisee safi umenikumbusha Butiama kwa Baba wa Taifa. Mwanza pazuri sanaNaongezea hapo Manyara...Olduvai Gorge anaingia Serengeti anatokezea geti la Fort Ikoma anaingia Nata ....Nyamswa ....Butiama kwa Baba wa Taifa (Makumbusho) kisha anaingia Musoma anashangaa shangaa siku moja anamalizia Mwanza. Kama ni mwezi huu wa August anakuwa amefanya na booking kabisa ya kukata utepe ya Dreamliner mpya anaruka zake back to Dar
Nikikuchefua ramba ndimu ufe
Aiseee aaikudanganye mtu,karibu sana Iringa pia utafika mpaka Mbeya!. Utakuwa na utalii na mapumziko mazuri kabisa. Nitakuorodheshea vivutio zaid zaid ya 20 ukanda huu ambavyo havitangazwi lkn ukifika na kujionea kamwe hutojutia muda wako na pesa
Arusha-LemaKaribu kwetu Rufiji, lkn kama ungependa Mikoani ningekushauri Iringa City huo ndiyo Mji ninaopenda klk yote TZ!
Barid limeisha kabisa mkuu!,tunajifunika shuka tu kwa sasa. Mi nipo huku na deal zangu ni iringa na Mbeya so namhakikishia through experience hakuna barid kwa sasaMkuu nyakati hizi ni kipindi cha baridi katika ukanda huo,kama jamaa hajazoea baridi atapata tabu sana.ila akisubilia mwezi wa tisa hadi wa kumi ukanda huo kuna faaa.
Hivi Manza Bay ipo wapi mkuu naona kwa watu wa Tanga ni sehemu maarufu kweliMkoa wa starehe na tulivu ni Tanga. Anzia Magoroto camp pale halafu panda Lushoto gwanta view then malizia Manza Bay.