TheDreamer Thebeliever JF-Expert Member Joined Feb 26, 2018 Posts 2,490 Reaction score 3,584 Aug 22, 2021 #1 Habari wadau..! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
Habari wadau..! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Aug 22, 2021 #2 Mkuu kwanini Jambo hilo usilifanye hapa hapa Nyumbani Tanzania maana utasaidia Sana kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wengi wasio na kazi.
Mkuu kwanini Jambo hilo usilifanye hapa hapa Nyumbani Tanzania maana utasaidia Sana kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wengi wasio na kazi.