johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio bwashee!Kwamba ukipanda scania huchoki km anaepanda yutong?
Ahsante mkuu.Mabasi ya Scania ya njia hiyo ni Majinja (Dar - Sumbawanga via Tunduma) na Abood (Dar - Tunduma). Saibaba sina uhakika nayo sana
Fuso zile za usiku?Kuna fuso
Ndiyo za uhakik zaidFuso zile za usiku?
Maendeleo hayana vyama bwashee!Kada wa ccm unataka kupanda basi.. Kaazime viete ya polepole
Yaaap. Wana magari mazuri kabisa kabisa.Ahsante mkuu.
Hawa Majinja wako vizuri?
Ccm wanalo scania lao lile la totKwa kawaida ninavyoenda Moshi na Arusha huwa natumia mabasi ya Dar Express, kiukweli vile visu viko very comfortable.
Je, Dar - Mbeya - Tunduma kuna mabasi ya Scania? Haya ya mchina mtu unafika ukiwa umechoka.
Bujibuji na Erythrocyte ushauri Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Hapa naulizia mabasi bwashee!Ccm wanalo scania lao lile la tot
Lile la tot sasa hv ni bus. Tumechongea body pale gareji ya Manji mliyokwapuaHapa naulizia mabasi bwashee!
Majinjah wana magari mazuri?Yaaap. Wana magari mazuri kabisa kabisa.
Scania siyo mchezo bwashee!Mkuu Mbeya kuna gari nzuri sana SCANIA GEMILANG za kampuni ya SAULI pia kuna BENZ za kampuni hiyo.
Zipo kila siku kazi kwako mkuu
Kwenye ligi nadhani ndo zinaongoza kufika Mbeya na Dar, Kwa ninavyosikia hao wachina njia hiyo wamesalimu amri sababu hizo Scania F360 huwa zinapanda kitonga kama zinashuka vile na kuna ule mluzi au whisle wa Scania unasikia na mafua yake kabisa.