Nataka kwenda Tunduma, je kampuni gani ina mabasi ya Scania? Ushauri tafadhali

Hako ka mluzi ata mi hua nakapenda balaa!
 
Majinja gari za kazi hizo hasa ile CSN Volvo na Scania BUL

kuna siku nilikua natoka Dar to Sumbawanga, nilikua na newforce golden deer.

ile show niliyoishuhudia wakimwagiana moto na ile BUL[emoji1373][emoji1373].

kama lingetokea la kutokea hakuna jiwe lingesalia.

sema Majinga kawekeza sana kwenye mambio lakini sio usafi na starehe wakati wa safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…