Hakikisha una cheti Cha language proficiency IELTS au TOEFL, hakikisha ufaulu wako ni at least band 7 overall kwa IELTS.
Kuwa na passport, Fanya credentialing kwenye vyeti vyako vya Diploma ili ijulikane ni equivalent na level gani kwa kule Canada. Baada ya hapo Apply for scholarships.. BSN kama una merits nzuri za Dip utapata scholarships..
Njia nyingine Kuna kitu kinaitwa Express Entry na Provincial Nominee programs (PNP)..hizi programs zinataka pesa kidogo,uki afford haitakuwa mbaya, Ipo hiviiii kila mwezi Provinces za CANADA huwa zinahitaji immigrants ili kujaza nafasi mbalimbali za kazi huko kwao,so Kuna items nyingi wameziorodhesha amapo kila item Ina scores,kwahiyo endapo ukazifikia scores za hiyo province hapo unakuwa umepita na unasepa zako, harakahara items zenyenye ni kama education( education kubwa na scores zinaongezeka) , Age( umri ukiwa mkubwa scores zinapungua) , paid work experience for the past 5 years( hii nayo Ina scores zake) ,cheti Cha language proficiency ( kina scores zake) , financial statement au Bank statement ( kuonesha Upo vizuri financially na huwezi kuwa ombaomba ukifika kule, last time nilicheki nikaona kwa mtu mmoja unatakiwa kama Milioni 7 hivi) hiyo naamini u can afford it, Cha msingi fuatilia kwa umakini,ikiwezekana cheki na Ubalozi wao kabisa ili wakusanue juu ya legit Agencies zinazosaidia kwenye PNP na EXPRESS ENTRY. Good luck,Mimi sipo Canada Wala Ulaya nipo Boay karibu na Bereko huku napigwa na baridi tu,I learned hayo mambo kutoka kwa wakenya fulani wa YouTube..