Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Please naomba tuheshimiane.Muone kamanda asiyechoka atakupa mchongo!
Mkuu mimi sio MCCM kabisa. Chama cha Majambazi.Kamanda Asiyechoka ni kada wa CCM aliyetumwa kuisakama CHADEMA.
Kamanda asoyechoka ni kamanda wa karatasi
Wewe ni kamanda?Please naomba tuheshimiane.
Nyie si mliwaambia wahamie burundi au mmesahauWewe ni Rasilimali ya Tanzania.
Kamanda AsiyechokaWewe ni kamanda?
Walitaka rasilimali zihamie Urundini halafu wanajifanya wasahaulifuNyie si mliwaambia wahamie burundi au mmesahau
Kivipi??Duh.... kwa hiyo wewe ni kipusa?
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia π·πΊ nchini Ukraine πΊπ¦.
Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine πΊπ¦ aliyoiingia kimabavu.
Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine πΊπ¦.
Natanguliza shukrani za dhati.
View attachment 2131974Muongozo mkuu
Kweli kabisa, Putin asichekewe.
Kumkalia kimya ni janga kwa dunia
Pisi kali na AKHatua ya kwanzaβ¦.
View attachment 2131841
Shida yake ilikuwa ni hii tu picha baada ya picha magwanda yamevuliwa.
Yaan Uta R.I.P fasta yaaan......uliona zile sijui ni iteje bomba la moto kama mtu anamwagilia bomba la moto zile helkopta za ukraine zilivyo shambuliwa angani......Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia π·πΊ nchini Ukraine πΊπ¦.
Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine πΊπ¦ aliyoiingia kimabavu.
Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine πΊπ¦.
Natanguliza shukrani za dhati.
Shida yake ilikuwa ni hii tu picha baada ya picha magwanda yamevuliwa.
Source: Niamini bro.