Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

Bujibuji ingia kwa Millard Ayo kuna utaratibu wa kwenda Ukraine 🇺🇦
 
Hahaha nigga please, hao hao Waukraine wataku shoot kabla hata ya Kremlin!
 
Lipa Madeni ako yote unayodaiwa ndio uende sio unataka kututoroka ki intelijensia hapa
 
Screenshot_20220226-153726_Instagram Lite.jpg
 
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦.

Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine 🇺🇦 aliyoiingia kimabavu.

Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine 🇺🇦.

Natanguliza shukrani za dhati.
20AF1506-85DF-4962-9EE7-1AE61980E678.jpeg
Muongozo mkuu
 
Yaan Uta R.I.P fasta yaaan......uliona zile sijui ni iteje bomba la moto kama mtu anamwagilia bomba la moto zile helkopta za ukraine zilivyo shambuliwa angani......
 
Back
Top Bottom