Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦, je nifuate utaratibu gani?

Pambana na fisiemu kwanza
 
Nasikia airport Kuna dege linachukua watu kuwapeleka Ukrain
 
Ukraine hawajui tu yaani, wangeanzia kule Afrika Magharibi mpaka huku Mashariki watapata mamilioni.... Shida itakuwa Usafiri tu wa kuwapeleka.
 
Kabla ya kulaani , unatakiwa kujua chanzo cha vita, chanzo cha uvamizi.

kwa sasa jipange wewe na familia yako namna ya kuja kukabiliana na hali ya kiuchumi miezi mitatau ijayo.
Uingereza, ufaransa, germany tayari wameingia vitani kusaidia ukrane, wametoa silaha, baadaye wanajeshi.

China na India wataingia vitani upande wa Urusi.

Wafadhili wa uchumi wetu wanaingia vitani wengine upande huu wengine upande ule.HAKUTAKUWA NA VISETI!
 
Ni Kumuomba Mmarekani Aingilie Hivyo Vita Maana Wewe Pia Ni Mshirika Wake Lazima Utahusika Kupigana.
 
Bujibuji ungekuwa wa kwenda hapa ningeona upo German ukifanya mpango wa kujiunga na NATO wakakuache mpakani utembee kuelekea Kiev hata kwa kupokonya gari uwasaidie sasa Simba unaaga siku tatu vita ya wapi hiyo Mkuu...
 
 
Ugali Umeuchoka?
 
Wewe waombee tu. Uwe Askari wa maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…