Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

Kaka ukipata taarifa sahihi za safari tafadhali unijulishe,twende kwa umoja wetu kukomboa Ukraine.... Sisi wa Tanzania tuna historia ya ukombozi
Serious na wewe unatakwenda?
 
Msimkatishe tamaa..fursa ipo

Screenshot_20220227-123754~2.png
 
Vijana kutoka nchi za karibiu turkey Hungary Poland wanaipigania ukraine .Putin amekasirika Hii siku ya 4 vita inaendelea Putin ame Shangazwa vijana wa Russia wanamsaidia ukraine .Vita ni gharama na wewe kama kama ni kijana nenda ubalozi wa ukraine nenda ukapiganie freedom
 
Vita ya dunia huanza kwa namna hii wakitokea wa kusaidia upande huu na wengine huu na kuendelea kuongezeka ndio vita upanuka na kupanuka na kuwa dunia nzima
 
Putin atapigika vibaya..
Vikwazo alivyowekewa ni bora afe tu.
 
Back
Top Bottom