Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

.hivi kuna nchi yenye vikwazo kama Korea kaskazini??
Mbona hajasanda na anaendelea kutest nyuklia
 
Duh watu wengi hawafuatilii taarifa vyema Kharjiv imeshakwenda na warusi. ...waukraine wanasema warusi wanna advance lakini kwa taabu..
Nafikiri hii Ni sawa na kusema duh wananila kiboga lakini nawasumbua..
Nb Vita si lelemama.. warusi wanakufa ,waukren wanakufa na ndo wengi coz wengine so masoja
 
[emoji23][emoji23]watu mna maneno ile kinoma.eti "walinila kiboga ila kwa mbinde"
 
Nimetumwa na familia
Mkuu ni simple tu;
1. Leta barua au Muhtasari wa kikao cha Familia unaoonesha kutumwa nao.
2. Leta CV yako
3. Ambatisha na Barua ya Maombi na vyote uvipeleke huko Ukraine.
NB: Uwe umepitia na KUHITIMU mafunzo ya Kijeshi na uoneshe Uzoefu wako.
-Baada ya hapo Subiri watangaze Ajira au ukiona wanazingua Zamia Ukraine au zile nchi zinazounga mkono Ukraine. Ila Bro, uwe umeiaga familia yako na kuacha Wosia kabisa manake huko sio misuli/mitulinga - ni mwendo wa ki-digitali.🤣🤣
Nakutakia kazi njema. Upatikanaji wa Ajira ni 100% Successful.😁😁
 
Bahati nzuri Rais wa kule ametoa Tangazo! Amekaribisha watu kutoka nchi zote duniani wanaotaka kupigana kuisadia Ukrane! Kuhusu Utaratibu nenda Ubarozi wa Ukraine hapa Tanzania utakupa maelekezo jinsi ya kufanya.
 
Ukifanikiwa kwenda usishangae una tumwa na ukrain sojaz kwenda kuangalia maadui wako pande Gan.
#Racism never die
 
Bahati nzuri Rais wa kule ametoa Tangazo! Amekaribisha watu kutoka nchi zote duniani wanaotaka kupigana kuisadia Ukrane! Kuhusu Utaratibu nenda Ubarozi wa Ukraine hapa Tanzania utakupa maelekezo jinsi ya kufanya.
Aende kambi yoyote ya Jeshi iliyo karibu ,watamsaidia.
 
Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia [emoji635] nchini Ukraine [emoji1255].

Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine [emoji1255] aliyoiingia kimabavu.

Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine [emoji1255].

Natanguliza shukrani za dhati.
Utoke uende wapi,

This is your destiny,

Utabaki hapa hapa[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sababu tunakupenda, kwenye vita bwana hakuna huruma wala hakuna macho, kwenye vita si rafiki sana kwa Mwanamke , usiende please.
Dahhh,nashukuru kwa upendo wenu,Ila sitakuwa na amani kama nitapata nafasi halafu nisiende,kutokana na skills ndogo niliyonayo hakika nitarudi salama. by the way nasikia askari wa?Ukraine?1000 na zaidi hatunao.
 
Je, ww mjomba bado unataka kwenda? Hiyo 1000 ni reported /counted cases. Unreported cases huenda ni nyingi zaidi. Vita ni Vita aisee haina macho kwamba eti "We are students..... we are not soldiers...." Hakuna kitu.
 
Sasa nyie wa kaka wa Tanzania tukivamiwa itakuaje jamani?mbona mna mioyo ya uoga hivi? vitani unavyoenda matokeo ni mawili.kufa ama kupona. . Ila ukiwa na spirit ya mapambano unaaamini utashinda na utarudi salama.. .. Hebu twendeni jamani Tanzania ni vijukuu vya Nyerere mkombozi😂😂😂
 
Na mm nataka kwenda,kwani mmeshakwenda nduguzangu watanzania?????
 
Back
Top Bottom