Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

😂😂😂😂Si mmewatwanga ljamani!mnataka wafanyaje?...ila v
Serikali ya Ukraine iliwaelekeza Wazee, Kinamama na Watoto wakae ndani watulie wakati ngoma inachezwa huko nje.Lakini,kama ilivyokuwa kwa Lutu na Mkewe, wanawake hao wametoka nje eti kuona kinachoendelea. Ni Viherehere.
 
Hawa wa ukraine wanahis wako kwenye war games.. kwel ulimwengu umebadilika
Wamesahau ya Japani dhidi ya America. USA iliwaonya wajapani wajisalimishe wakawa wabishi, liliposhushwa Mama ya BOM hiroshima na Nagasaki ndio wakaweka silaha chini.
Putini ni mwehu akiona wanakuwa wabishi atawageuza majivu.Mambo ya kupambania nchi ni propagnda za viongozi wakati kumetulia hawataki hata mmiliki silaha ila kukinuka wanagawa bunduki kama njugu.
 
Ndo maana wengine walisema: Siasa ni mchezo Mchafu
 
Ukirusi salama niletee AK 47 japo najua ukifika tu lazima ubaguliwe au utangulizwe mbele kama chambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…