Japo fursa ziko za hapa na pale lakini mkuu jamaa wale huko kwao wabaguzi sana hasa ukiwa unaitwa John, Joseph n.k, ila yako maeneo yaliyomchanganyiko na wabara kama Kiembe Samaki, Kwa Mchina na Jang'ombe huko kidogo waweza kufanikiwa
Mimi nipo huku baba, jipange na uwe na mtaji mrefu maana zanzabr watalii n wengi, ubaguzi siyo WA kidini ila n WA Bara tu, ukiwa WA Bara unajulikana tu, n maisha ya zanzabr siyo rahisi n kupambn tu kaka