johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa nini haujatueleza "tulale unono" mwagito?Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ
Na wewe tuondolee huu uduwanzi wako wa mwendazake kila siku shujaa shujaa wa nyoko?Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ
Leo Hakunaga kulala Mwagito πKwa nini haujatueleza "tulale unono" mwagito?
Mlaumu aliyekuuzia Cheti Feki πNa wewe tuondolee huu uduwanzi wako wa mwendazake kila siku shujaa shujaa wa nyoko?
Badooo kwanza tupige kura yajayo tutajua..huko mbeleniKila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahwhahahahahahahahahahahahhahqhwhwhahahahahahahahqhahqhqhwhwhwhwhahahahahahahahahahahahahahh, yaani ugumu mpaka sasa keshaupata, kuanzia ayatola mbowe mwenyewe anatamani bora zile risasi zake mbowe zingemuua maana lisu hana logic ni mropokaji siyo mtunza siri hahahaha na lisu naye anajuta kumjua ayatola mbowe mla rushwa mkubwa ndani ya NGO yao. Yaani kila mmoja anamfikiria Dkt Magufuli kwa muda wake anamkumbuka hahahahahahahahahahahahahahahaKila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ
huenda akashinda njaa clubhouse na mitandaoni na diasporas lakini sio kushinda uchaguzi, eti awe mwenyekiti wa Chadema Taifa,Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ
Aliyekuwa na PhD fake ni huyo shujaa uchwara wako ndiyo maana akamuua Ben Saanane baada ya kumuumbua. Walionunua vyeti feki ni nyie mliokuwa mnaishi kwa kuajiriwa na serikali maisha ambayo sikuyaishi.Mlaumu aliyekuuzia Cheti Feki π
Kubenea alisema alimkuta Ben kwenye Maktaba ya Chadema anasoma vitabuAliyekuwa na PhD fake ni huyo shujaa uchwara wako ndiyo maana akamuua Ben Saanane baada ya kumuumbua. Walionunua vyeti feki ni nyie mliokuwa mnaishi kwa kuajiriwa na serikali maisha ambayo sikuyaishi.
Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ
Kamuulize huyo Kubenea mzee wa shanga mimi unanionea bure.Kubenea alisema alimkuta Ben kwenye Maktaba ya Chadema anasoma vitabu
Labda utujuze Maktaba ya Chadema iko wapi π
Heee! Alishinda nini hadi kumwita Shujaa?Shujaa Magufuli
Mshana Jr inabidi jina lako tukuite Mushana Jur hahahaha yaani mmepambania NGO yenu hatimaye ndiyo mnakuja kungundua ni mali ya mangi mbowe hahahaha poleni sana. Sisi CCM tunasubiri tifutifu letu mwakani najua kitakuwa kivumbi balaa ila sisi hatuna ujinga ka wenu wakudhalilishana yaani mambo ya sirini kwenye vikao unamwaga ka mchele kwa kuku yaani mpaka tumejua kumbe mbowe ndiye alituma watu kumuua mzee kibao na ndiye alituma watu kumimina risasi kwa lisu hahahaha yaani yajayo yanafurahisha mno. Naamini baada ya uchaguzi mbowe anatakiwa akamatwe kwa mauaji ya chach wangwe, mzee kibao na la kumtwanga risasi lisu
Wapiga kura ni Mch Msigwa,Dr Slaa,Maria wa Club house ......Sioni huyu Mpiga kelele akishinda.Kila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ
Habari ya Njombe! Hebu urudi hata na kiguduria kimoja cha ulanzi aiseeKila iitwapo Leo nazidi kumuombea Tundu Antipas Lisu ashinde KITI Cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa
Nadhani atakutana na zaidi ya aliyoyakuta Shujaa Magufuli kule CCM na atakapoanza kulialia tutamkumbusha alivyokuwa anamsimanga Shujaa
Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya πΉ