Nataka mashine ya photocopy!

Nataka mashine ya photocopy!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Ninayo haja ya kununua mashine ya photocopy pamoja na ya kusafisha passprt size, kwa uzoefu wenu, nishauri aina na bei ya brand huzika. WASALAAM!
 
hellow!
Nakushauri nunua Canon ir series. ni nzuri kwa biashara kama stationery.spear zake zipo nyingi na bei rahisi, mafundi wa canon wapo wengi,ni friend user kimatumizi.
 
ninayo canon 2340 mpya imetumika miezi 2 copy imetoa kidogo sana. bei 1.7mil kuna maongezi. naku pm simu yangu
 
Back
Top Bottom