Nataka mdada wa kula naye x-mass nakuanza naye mwaka mpaka ndoa hadi kifo...

Status
Not open for further replies.

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
594
Reaction score
172
heeh!
Girls please nakutafuta uwe n elemu si chini ya form four working or self employed kiufupi uwe smart kwa kichwa kuliko mwonekano wako ukiwa mzuri na smarat kichwani majaliwa, but above all uwe mcha mungu, na mwenye mapenzi ya dhati usiye na tamaa ila uwe una uwezo wa kuishi mahali popote nje ya nchi , ujiamini kwa mambo unayo yajua!
kribuni sana,
nitakupenda mpaka shetani ashangae ati!
unaweza kunipm
 
Hapo bold umesahau awe anajua lugha ya biashara maana huko nje wanavunja mayai tu....Usishangae kujiwa na Master holder ila lugha ya kuvizia neno lililo karibu ili kuunganisha sentensi.
 
heeh!
Girls please nakutafuta uwe n elemu si chini ya form four working or self employed kiufupi uwe smart kwa kichwa kuliko mwonekano wako ukiwa mzuri na smarat kichwani majaliwa, but above all uwe mcha mungu, na mwenye mapenzi ya dhati usiye na tamaa ila uwe una uwezo wa kuishi mahali popote nje ya nchi , ujiamini kwa mambo unayo yajua!
kribuni sana,
nitakupenda mpaka shetani ashangae ati!
unaweza kunipm

hahahahah! nimependa hapo tu.
 
Kwa hiyo mnakula xmass halafu mnaanza mwaka mpya..afu mnafunga ndoa halafu kifo..

Kila la kheri mkuu
 
hiyo kifo giveni kama ulizaliwa ujue kinyume chake ni kifo... afu haya matukio yoko distantly ebu subua kichwa yako kufikiri acha uvivu!
Kwa hiyo mnakula xmass halafu mnaanza mwaka mpya..afu mnafunga ndoa halafu kifo..

Kila la kheri mkuu
 
kwanini niwanunulie yupo tu mmoja wa kumnunulia mama yake na mimi the rest wanajua kwanini wanaishi meaning wanafanya kazi...
Umeshawanunulia vitu vya x-mass ndugu na jamaa zako mpaka umtafute wakula nae????
 
wewe upo smart kichwani na kwa muonekano au unataka vizuri kwa wenzio tu?
 
mhh...nitakupenda mpaka shetani ashangae ..hahahahahhh
halafu yesu/mtume atabasamu au vip????????
 
Mie nilijua wakula nae Christmas na kumalizia mwaka mpya... aaaargh fursa imenikosa
 
Hapo kifo tu.mie naona.kwenye hIlo sintoweza haya ya xmass na ndoa naweza.fursa imenipita hii dah.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom