Hapo bold umesahau awe anajua lugha ya biashara maana huko nje wanavunja mayai tu....Usishangae kujiwa na Master holder ila lugha ya kuvizia neno lililo karibu ili kuunganisha sentensi.heeh!
Girls please nakutafuta uwe n elemu si chini ya form four working or self employed kiufupi uwe smart kwa kichwa kuliko mwonekano wako ukiwa mzuri na smarat kichwani majaliwa, but above all uwe mcha mungu, na mwenye mapenzi ya dhati usiye na tamaa ila uwe una uwezo wa kuishi mahali popote nje ya nchi , ujiamini kwa mambo unayo yajua!
kribuni sana,
nitakupenda mpaka shetani ashangae ati!
unaweza kunipm
heeh!

Kwa hiyo mnakula xmass halafu mnaanza mwaka mpya..afu mnafunga ndoa halafu kifo..
Kila la kheri mkuu
Kwa hiyo mnakula xmass halafu mnaanza mwaka mpya..afu mnafunga ndoa halafu kifo..
Kila la kheri mkuu
Umeshawanunulia vitu vya x-mass ndugu na jamaa zako mpaka umtafute wakula nae????
Tafuta mwenye diploma
hiyo kifo giveni kama ulizaliwa ujue kinyume chake ni kifo... afu haya matukio yoko distantly ebu subua kichwa yako kufikiri acha uvivu!
Aisee..
wewe utaki sababu nimetaja kifao nini?
Hapana hatujaelewana tangia mwanzo..sasa tuache kama ilivyo..
Mimi Nikutakie kila la kheri