Nataka mdada wa kula naye x-mass nakuanza naye mwaka mpaka ndoa hadi kifo...

Status
Not open for further replies.
weka picha bhana! hukuona mmoja aliweka thread ya kumtaka mwanamke, akaambatanisha na picha yake?
 
Umeshawanunulia vitu vya x-mass ndugu na jamaa zako mpaka umtafute wakula nae????

kwani amesema ana ndugu na jamaa?

kama ndo yeye pkee aliyebaki kule mabwepande? tutajuaje? au hujasikia kuna watu kule wametekwa na kufichwa msituni kwa muda?
 
ahahahahahhahah uuuwih!
yani kuna watu huwa mna maneno sijui mnayafikiraga nini!
NITAKUPENDA HADI SHEATNI ASHANGAE!
 

tunakoenda tumebakiza kufanya promosheni bara baran ya uzinzi
 
Nafasi iko waz mdada karibu tutumbue mapesa yangu haya krismass!
 
Mwanaume wa sikuhizi na hata wazamani sijui mpoje, imeandikwa kwenye biblia mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho sasa hili working or self employed sijui linatoka wapi mweeeeee!!!
 
Mwanaume wa sikuhizi na hata wazamani sijui mpoje, imeandikwa kwenye biblia mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho sasa hili working or self employed sijui linatoka wapi mweeeeee!!!
Miteremko itawaponza shauri yenu..!
 
Mkuu umesahau uzalendo
Kweli dunia ni earth
 
Yupo mmoja huku nae anatafuta mume vigezo vyote anavyo.Ila tu kaacha kujiuza na yupo tayali kumcha Mungu wako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…