Nataka mfanyizia mbaya, naombeni ushauri wenu.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Jamaa mtoto wa Shekhe maarufu nataka mfanyizia visa mpaka aone dunia chungu. Nimemuonya juu ya kumsumbua my SWITY! bado anajifanya aelewi. Nataka anza mfanyia visa vya mgongano ndani ya familia yake ili vimsumbue akose muda wa kumsumbua my Baby.


Leo nimepanga kwenda kununua Kitimoto kilo moja, naifunga vizuri. Namtafuta mtoto aipeleke nyumbani kwao mida ya jioni kabla baba yake ajaenda kwa misikitini. Navizia akiwa amekaa kibarazani kama kawaida yake. Nitamwambia huyo mtoto kuwa, huyo mtoto wa shekhe kamtuma akamnunulie hiyo nyama. Nitamchukua mtoto mbali ya sehemu ninapoishi.



Naombeni visa vingine wana wa JF, ananiudhi huyu.
 
Hukusema anamsumbuaje, huenda swity wako ndo anamsumbua jamaa. Take care kijana!
 
Sikushauri,usilipe ubaya kwa ubaya,maisha mafupi haya kufanyiana ubaya,mbona tumefanyiwa mengi tu.....

We mtunze huyo sweety wako,akupende zaidi na asishawishike na wengine,huko kwenye shari yanaweza kukuta makubwa.

usiende nakusihi!
 
mmmhhhh jamni wewe..
nani alikwambia dawa ya moto ni moto??
hapo kwa kweli unajidanganya..

na mie naona kama umeamua kufanya visa..
fanya lakini chunga usifanye kitu ambacho
kitaumiza familia nzima kwani si wote wenye makosa...
lakini si vema kabisa kudharau maadili ya dini ya mtu..
hapo kwenye kitimoto kweli sahau..
Borea umtokee live
kuliko kumuharibia nafsi yake..


kwa kweli haya mambo mie naona ni ya kitoto sana..
visa kama hivi havikufikishi mbali..
kweli hilo la nyama inaonekana ni jambo la kitoto sana
mtu mzima mwenye akili zake hawezi fanya hivyo..
 


Jamaa ana madharau kweli kweli. Naomba unipe kisa kingine ili nikiache hiki.
 
Sikilia ndugu yangu, nikweli anamfanyia visa mpenzio, mbona kuna namna nyingi rahisi kumuepuka? abadili namba kama kweli yuko serious, ahame mtaa kama yupo serious, atoe taarifa police kuwa anasumbuliwa kama yuko serious, lkn k/moto kinaenda na majini, je unamajini mangapi ya kukulinda? kama huamini majini muulie jamaa mmoja anaitwa, Dr. Paul Hamis Hussein ameokoka anapatikana hapo dar(niko nje) yeye alikuwa shkh alikuwa anayatengeneza majini wewe utaweza? utaweza tu kama unaemsaidia ni mkeo wa ndoa, pia umpokee Yesu Christo kama Bwana na Mwokoi wako la tutakusahau hapa JF na mtaani pia, kama mpenzio hataki kubadili namba mwache mbona wapo wengi je, mama na baba na ndugu wakukose kwasababu ya mwanamke anekuja olewa na mwingine mara ukifa? utapata nini baada ya kifo?
Wacha kabisa
TUNAKUPENDA SN,
TUNAKUTEGEMEA
4 FUTURE.
CHAMKY.
 
Kufanya hivyo siyo kutatua tatizo mkuu, ushauri wangu mm ni msimamo wa huyo seet wako tuu ndio utamfanya anayemfuata aache. Na kama huyo seet wako anakupenda anaweza kum expose mbele yako na kuwa naomba usinifuate huyo hapa ndiyo mmiliki. Simple and clear.
 
Mi nakushauri msamehe tu, si anamsumbua tu, hakuna haja ya kuanza kufanya visa ambavyo hata wewe mwenyewe vinakuumiza.

Kumbuka hapo unafanya visa kwa ajili ya nafsi ya mtu mwingine, huwa wanasema usiusemee sana moyo wa mtu.

Mlizi wa huyo swity wako kwa asilimia kubwa ni yeye mwenyewe. Kama anakupenda na anamaanisha ktk hilo hata asumbuliwe vipi, bado atabaki kuwa wakwako tu.

Hivi vita vya kimwili hivi angalia visije vikapelekea hata huyo swity mwenyewe akaja kukuona wa ajabu.

TULIZA MOYO!!
 
Astafulaahiii! Unaijua alibadiri wewe
Safi sana ila hakikisha unapoanza kufanya hivyo vituko ushachonga jeneza na kuhifadhi hela za mazishi yako... wasijesumbuka watakao baki!!!:suspicious: Na baada ya kukung'oa wewe sasa ndio kijana atakuwa free kumtafuna sweet wako, na utashuhudia mwenyewe ukiwa kaburini....
 
Ua paka mtaani kwenu, mfumnge vizuri kwenye parcel, kisha itume kwake... nakwambia hatorudia
 

mmmmmmmmhhhhhhhh hili pozi nimelipenda..... naomba tupige picha hivi ??
 
Kwanza nani alokwambia wanawake wanagombaniwa dunia ya sasa :A S-fire1:
 
Hivi wewe unajiamini??
na je kuna trust kwenye hiyo relation yenu?

Najiamini sana, sifa zote ninazo. Ila jamaa anaua huyo, ukichangaya na mkwanja wake balaa tupu.
 
Najiamini sana, sifa zote ninazo. Ila jamaa anaua huyo, ukichangaya na mkwanja wake balaa tupu.

mmhhh basi weye ongea na bibie..
kuhusu hilo, mkazie mkanda kabisa
mweleza jinsi unavyo jisikia kuhusu hilo.

lakini wewe ukienda kugombana na huyu kijana
mbele ya bibie hata naye atakuona mjinga...

kwa kweli hiii dunia ya sasa si ya kugombana ni kuheshimiana tu..
ka bibie anaheshima na anakupenda atakusikiliza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…