kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Jamaa mtoto wa Shekhe maarufu nataka mfanyizia visa mpaka aone dunia chungu. Nimemuonya juu ya kumsumbua my SWITY! bado anajifanya aelewi. Nataka anza mfanyia visa vya mgongano ndani ya familia yake ili vimsumbue akose muda wa kumsumbua my Baby.
Leo nimepanga kwenda kununua Kitimoto kilo moja, naifunga vizuri. Namtafuta mtoto aipeleke nyumbani kwao mida ya jioni kabla baba yake ajaenda kwa misikitini. Navizia akiwa amekaa kibarazani kama kawaida yake. Nitamwambia huyo mtoto kuwa, huyo mtoto wa shekhe kamtuma akamnunulie hiyo nyama. Nitamchukua mtoto mbali ya sehemu ninapoishi.
Naombeni visa vingine wana wa JF, ananiudhi huyu.