Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV
nipo online karibu sana, nnapoishi kutoka mjini Dodoma mpaka nilipo ni elfu 5 karibu sana
Una matatizo wewe

Uliokua nao utotoni hujapata

Upande wa ndugu zako hujapata
Upande wa mliosoma nao kuanzia chekechea ,msingi nk hujapata
Wafanyakazi wenzio hujapata
Majirani hujapata
Mnaosali nao hujapata
Kwa mbaoshirikiana matukio mfano vikao vya harusi send off misiba nk hujapata

Wewe utakuwa na shida kubwa sana tu hadi kufikia hatua ya kutaka kuokoteza mke mitandaoni
 
Kwani wewe sio single father jamani? Kulikoni unawatenga single mothers? Kuwa na heshima na wamama. Hebu chana nao bana. Kuzaa ni baraka.
Single mother anayestahili kuhurumiwa ni mjane pekee. Naishia hapa na wala sitajibizana nawe tena kuhusu hii mada!
 
Apa atupo shule kufundishana uundaji wa maneno mazA faka ww
...apa?

...atupo?

Kiswahili gani hiki ndugu yangu?

Acha kutukana jifunze kuiandika lugha yako kwa ufasaha.

Kama Kiswahili tu kinakupa shida, Kiingereza itakuwaje?
 
Single mother anayestahili kuhurumiwa ni mjane pekee. Naishia hapa na wala sitajibizana nawe tena kuhusu hii mada!
Kumbe kuna hawa wajane wanaoingia kwenye ndoa kwa kuhurumiwa ha haa haa.
Basi sawa. Bora hao wengine wapishane na ndoa hizi za kuhurumiwa.
Poa. Bye.
 
Una matatizo wewe

Uliokua nao utotoni hujapata

Upande wa ndugu zako hujapata
Upande wa mliosoma nao kuanzia chekechea ,msingi nk hujapata
Wafanyakazi wenzio hujapata
Majirani hujapata
Mnaosali nao hujapata
Kwa mbaoshirikiana matukio mfano vikao vya harusi send off misiba nk hujapata

Wewe utakuwa na shida kubwa sana tu hadi kufikia hatua ya kutaka kuokoteza mke mitandaoni
Wewe umeshaolewa?
 
Wanawake wengi waliomo humu hasa wale wakongwe wakongwe kuanzia 2020 kurudi nyuma huko wameliwa sana na njemba za humu. Body count ya hapa JF tu wengine inasoma 10+. Ukiongeza na huko mtaani na vyuoni huko sijui hali ikoje.

Kama kweli unatafuta mke tafuta binti ambaye bado hajatumika sana na aliyetulia laivu huko mtaani au unakotoka. Siyo hawa wa humu 30+ wametumikishwa na majamaa kuanzia ndoa bubu za vyuoni huko mpaka kugombaniwa humu. Wengine na mimba kibao wametoa!

Humu unatafuta maumivu tu na usitishwe na ulokole wala sijui busara na mental maturity. Utakuja kulia na kusaga meno. Na uwezekano wa kupata single mother humu ni mkubwa na hatakwambia!

Take it or leave it!
Nenda Bukoba hapo au uje huku Kigoma vitu mnato rangi za asili
 
Wanawake wa humu ni namba A.(Yaani ni used na zimetembea SI chini ya KM laki mbili
 
Mimi niko verified Mkuu sina hata haja ya kumla nina miaka 15 humu nalinda badge yangu
Achana nae, wivu tu unamsumbua😁,,akili zao wamekariri kila unaekutana nae au kuzoeana humu basi umepita nae, jf naifahamu nje ndani hivyo sishtushwi na maneno ya vijana wa humu,naifahamu tokea 2013 hivyo hakuna jipya,
 
Back
Top Bottom