Wana Jf mimi kidogo umri wangu umesogea niko kati ya miaka 40-45,ninafanya kazi nimeajiriwa kwenye shirika moja hapa Dsm,nahitaji mwanamke wa kuoa kutoka humu Jf,awe na umri kati ya miaka 35-42,awe anafanya kazi ya kuajiriwa au mfanyabiashara,kama ni watoto asiwe na zaidi ya mmoja kwani mimi ninae mmoja pia awe tayari kupima HIV kabla hatuajaendelea na mipango yetu ya kuishi pamoja.Aliye interested anaweza kuni pm.
Tokea nimeanza sijawhi ku-change ID yangu Zion Daughter .Id yako ya zamani ni ipi?
https://www.jamiiforums.com/love-co...-ya-new-id-yasitishwe-humu-2.html#post5833529
Dah nimeikosa bahati!!! Mimi nimauanza wa 45!!! Ha ha!! watoto watatu (3)!!! Ha ha ha!! ndoa za masharti hizi!!! Kwa range ya umri wa mwanamke 35-42 atakuwa na zaidi ya mtoto mmoja!!! Kama atakuwa na mmoja basi atakuwa alichelewa kuolewa!!! Ka hiyo unataka aliyetalikiwa!! Kizaaa bila ndoa!! Ambaye hajaolewa kabia at 35-42 -kashakula maisha hapo!!
Nakushauri kwa umri uliokuwa nao mwombe sana Mungu akupe chaguo lako au niseme ubavu wa ubavu wako!! Tayari unakabia jioni usichague sana maana ukifika 45 ina maana kama utamzaa mtoto akiwa na 20 years wewe utakuwa over 60 na mambo ya shule ada itakuwaje? Fanya fast mkuu!!! Au tafuta wa kuzeeshana naye tu maana kuzaa tena at your age labda uoe mke mdogo zaidi ili aweze kukusaidia ukizeeka!!
N.B Umri wangu ni mkubwa sana!!! Nina wajukuu!! Miaka 45 nimeweka kama kikolezo tu!!
Why do you say so,may be nimeji-express vibaya,lakini am seriou about this Zion DaughterAnalysis yako imekaa kibaguzi afu sio ya kweli...
Just be careful hapa mtandaoni fake ni wengi..Zaidi sana kama wewe ni muumini mwombe Mungu hii ndio njia ya uhakika zaidi..Hata ukimshirikisha Mchungaji/padri/shehe wako itakuwa jambo jema zaidi kukusaidia kupata mwenzi..Tokea nimeanza sijawhi ku-change ID yangu Zion Daughter .
Ur ok nilikuwa namjibu Zogwale ..Japo hata wewe tangazo lako huna details za kutosha kuwarahishia potential candidates kukutafuta..Ungecheki sticky ya AshaDii hapa hapa love connect kaelezea jinsi gani ya kuandika tangazo.Why do you say so,may be nimeji-express vibaya,lakini am seriou about this Zion Daughter
Khaa Zion Daughter wangu nimembagua nani tena wajameni? Mbona nimesema ukweli jamani? Yaani we mwanaume una miaka hiyo halafu unaleta masharti ya mke utakayemuoa? Kwanza anatakiwa aeleze CV yake vizuri sana na aseme wazi alikuwa wapi hasi muda huu!!!Pengine alikuwa anasoma PhD!! Ha ha ha!! Ukija kwangu na 45 years unataka kunioa ni lazima uniruhusu nikuulize maswali mengi sana!! Kwa Waafrika si tradition ati!!Analysis yako imekaa kibaguzi afu sio ya kweli...
Khaa Zion Daughter wangu nimembagua nani tena wajameni? Mbona nimesema ukweli jamani? Yaani we mwanaume una miaka hiyo halafu unaleta masharti ya mke utakayemuoa? Kwanza anatakiwa aeleze CV yake vizuri sana na aseme wazi alikuwa wapi hasi muda huu!!!Pengine alikuwa anasoma PhD!! Ha ha ha!! Ukija kwangu na 45 years unataka kunioa ni lazima uniruhusu nikuulize maswali mengi sana!! Kwa Waafrika si tradition ati!!
kazi ipo
Wana Jf mimi kidogo umri wangu umesogea niko kati ya miaka 40-45,ninafanya kazi nimeajiriwa kwenye shirika moja hapa Dsm,nahitaji mwanamke wa kuoa kutoka humu Jf,awe na umri kati ya miaka 35-42,awe anafanya kazi ya kuajiriwa au mfanyabiashara,kama ni watoto asiwe na zaidi ya mmoja kwani mimi ninae mmoja pia awe tayari kupima HIV kabla hatuajaendelea na mipango yetu ya kuishi pamoja.Aliye interested anaweza kuni pm.
Nashukuru kwa msaada wako mkuu siunajua ili ujue kiswahili fasaha inabidi ukieendee darasa mkuu,mie nilikisoma kwasababu ilikuwa compulsory tu lakini sio kama na-kimaind kiviiile know wht i mean?????hatuoi 'wake' tunaoa 'wanawake' wanaokuwa 'wake' baada ya kuingia ktk ndoa! sorry..it is just point of correction!
ahaaaa ! mi sipendi mambo ya siri bwana wewe sema hapa hapa ili wadau wanishauri .halafu toa iyo avatar unaonekana muhuni tu ! miaka 45 na akili hiyo utakosa mke ujueSasa Smile kama unanitaka si utafute njia ya kuchat na mimi kiliko kumwaga humu hadharani,swala la mimi kula chumvi nyingi lina husiana vipi na kutafuta mke,ndio maana nataka aliekula chumvi kama mimi sihihitaji mapresha ya vijitoto vidogo.