Manmaji
Member
- Mar 21, 2012
- 26
- 13
Wana Jf mimi kidogo umri wangu umesogea niko kati ya miaka 40-45,ninafanya kazi nimeajiriwa kwenye shirika moja hapa Dsm,nahitaji mwanamke wa kuoa kutoka humu Jf,awe na umri kati ya miaka 35-42,awe anafanya kazi ya kuajiriwa au mfanyabiashara,kama ni watoto asiwe na zaidi ya mmoja kwani mimi ninae mmoja pia awe tayari kupima HIV kabla hatuajaendelea na mipango yetu ya kuishi pamoja.Aliye interested anaweza kuni pm.