Nataka mtu wa kufanya "drip irrigation" kwa ajili ya Kilimo cha Mapapai

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation.

Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu. Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu.

Kwa yoyote mwenye utaalamu wa hayo mambo basi naomba anipm tufanye kazi.
 
Sawa lakini kuna matapeli pia uwe makini. Wanaweza kukuwea miundo mbinu hafifu.Tafiti kwanza ili ukipata mtalaamu uwe tayari na ABC zake.
 
Muulize swali moja tu la msingi hiyo drip discharge rate yake kwa saa ni lita ngapi?

Kuna drip maalumu kwa ajili ya mazao ya matunda na maalumu kwa ajili ya mboga mboga sasa ole wako ujichangaje uwekewe ya mboga mboga kwenye matunda UTAJUTA.

Kuwa makini dicharge rate chini ya 2lts per hour haikufai kwenye mipapai...
 
Kilajambo linawataalam wake.
kwenye mambo ya drip irrigation,hapo mwanzo sikujua kama kuna drip discharge rate.
 
Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima kilimo cha mapapai.

Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation.

Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu.

Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu.

Kwa yoyote mwenye utaalamu wa hayo mambo basi naomba anipm tufanye kazi.
Namba za 0627039722
 
Mtafute agrila farming yupo humu jf hao wengine magumashi
 
Muulize swali moja tu la msingi hiyo drip discharge rate yake kwa saa ni lita ngapi?

Kuna drip maalumu kwa ajili ya mazao ya matunda na maalumu kwa ajili ya mboga mboga sasa ole wako ujichangaje uwekewe ya mboga mboga kwenye matunda UTAJUTA.

Kuwa makini dicharge rate chini ya 2lts per hour haikufai kwenye mipapai...
awardee da its
Screenshot_20210103-131932.jpg

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation.

Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu. Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu.

Kwa yoyote mwenye utaalamu wa hayo mambo basi naomba anipm tufanye kazi.

Hello boss,mfumo wa umwagiliaji kwa njia ya matone (drip irrigation) kwa umwagiliaji wa papai huwa tofauti kidogo na mfumo wa umwagiliaji kwa mazao ya mboga mboga hivyo huwa na aina yake kabisa ya bomba ambazo huitwa blind pipes zinazopachikwa online emitters kwenye kila shina la mpapai hivyo usanifu wa mfumo wa drip irrigation kwa mazao ya mitimiti huwa wa tofauti kidogo.Sisi Agrila Farming Co Ltd tuna wahandisi wa kilimo na mabwana shamba wenye uzoefu na kazi hii kuanzia ushauri mpaka ufungaji wa mfumo huu.kwa baadhi ya kazi zetu unaweza kutembelea website yetu (www.agrilafarming.com).Unaweza pia kuwasiliana na mhandisi wetu wa kilimo kwa simu namba 0752022108.
IMG_2932.jpg
 
Back
Top Bottom