Kilajambo linawataalam wake.Muulize swali moja tu la msingi hiyo drip discharge rate yake kwa saa ni lita ngapi?
Kuna drip maalumu kwa ajili ya mazao ya matunda na maalumu kwa ajili ya mboga mboga sasa ole wako ujichangaje uwekewe ya mboga mboga kwenye matunda UTAJUTA.
Kuwa makini dicharge rate chini ya 2lts per hour haikufai kwenye mipapai...
Namba za 0627039722Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima kilimo cha mapapai.
Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation.
Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu.
Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu.
Kwa yoyote mwenye utaalamu wa hayo mambo basi naomba anipm tufanye kazi.
awardee da itsMuulize swali moja tu la msingi hiyo drip discharge rate yake kwa saa ni lita ngapi?
Kuna drip maalumu kwa ajili ya mazao ya matunda na maalumu kwa ajili ya mboga mboga sasa ole wako ujichangaje uwekewe ya mboga mboga kwenye matunda UTAJUTA.
Kuwa makini dicharge rate chini ya 2lts per hour haikufai kwenye mipapai...
Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation.
Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu. Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu.
Kwa yoyote mwenye utaalamu wa hayo mambo basi naomba anipm tufanye kazi.
Mtafute agrila farming yupo humu jf hao wengine magumashi