Nataka mtu wakunifundisha kusuka nywele mitindo yote

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
Habari, nahitaji mtu wa kunifundisha kusuka, nna salon yangu Lakini sijui kusuka naweza kuset, kutengeneza wigs kushonea style zote,kubond, kupiga pasi nk. Yoyote anaejua kusuka nayupo tayari kunifundisha,yeboyebo, rasta za vitunguu tread na style nyingn akicheka dm, tutaelewana ila tu awe na uwakika anajua kusuka
 
Masai nipo hapa

Back
Top Bottom