Habari, nahitaji mtu wa kunifundisha kusuka, nna salon yangu Lakini sijui kusuka naweza kuset, kutengeneza wigs kushonea style zote,kubond, kupiga pasi nk. Yoyote anaejua kusuka nayupo tayari kunifundisha,yeboyebo, rasta za vitunguu tread na style nyingn akicheka dm, tutaelewana ila tu awe na uwakika anajua kusuka
Ooh sawa,, ngoja nikutaftie aliyeko hukoDar nipo