Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Tahadhari msome na kuelewa sio uje mwalimu upo upo na huna mwili wa mazoezi utanikosea adabu na akili yangu utaichosha, hakika sitofanya mazoezi vyema na utanipotezea muda tu ntakuwa nasahau kuja mazoezini,nataka mwalimu anaevutia ili niwe napenda sana mazoezi,na kila nikikumbuka mazoezi nafurahi,itanifanya akili yangu iwe inamkumbuka mwalimu kila saa ,mwalim akitabasam tu unafurahia .Mwalimu awe na lugha laini sipendi watu wakali anielewe nilivyo tu
Hebu tupende kufanya kitu huku unazungukwa na vitu vizuri akili nayo inakuwa nzuri na afya