Nataka mwalimu wa mazoezi

Nataka mwalimu wa mazoezi

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Screenshot_2018-01-30-11-13-43-1.png
nataka kuanza mazoezi ,nikipata mwalimu kama huyu naahidi nitakuwa mwaminifu kwenye mazoezi na sitakosa hata siku moja,na nitapenda sana kufanya mazoezi aina yote,unajua kila kitu kinahitaji motivation jamani,mwalimu wangu ntakupenda kwa dhati maana nitapata vitu vingi toka kwako ikiwemo mazoezi ya kutosha,so kama kuna mwalimu humu ana body kama la huyu mkaka aje pm tuyajenge,pia ka sura kawepo jamani sitaki kutishwa mie wakati wa mazoezi
Tahadhari msome na kuelewa sio uje mwalimu upo upo na huna mwili wa mazoezi utanikosea adabu na akili yangu utaichosha, hakika sitofanya mazoezi vyema na utanipotezea muda tu ntakuwa nasahau kuja mazoezini,nataka mwalimu anaevutia ili niwe napenda sana mazoezi,na kila nikikumbuka mazoezi nafurahi,itanifanya akili yangu iwe inamkumbuka mwalimu kila saa ,mwalim akitabasam tu unafurahia .Mwalimu awe na lugha laini sipendi watu wakali anielewe nilivyo tu
Hebu tupende kufanya kitu huku unazungukwa na vitu vizuri akili nayo inakuwa nzuri na afya
 
Mama Sabrina na deo kisandu nahisi Ni majirani
Halaf Mi mnyamwezi niliepoteza passport,
niko bongo bahati mbaya tu unyamwezi sio wa kufosi ,ukiniona kama tozi niguse nije na kikosi
Haijalishi niko wapi lazima niwe happy,
Haijalishi nipo wapi lazima niwe msafi
Hata kama nipo mwenyewe au na washikaji
 
View attachment 687458nataka kuanza mazoezi ,nikipata mwalimu kama huyu naahidi nitakuwa mwaminifu kwenye mazoezi na sitakosa hata siku moja,na nitapenda sana kufanya mazoezi aina yote,unajua kila kitu kinahitaji motivation jamani,mwalimu wangu ntakupenda kwa dhati maana nitapata vitu vingi toka kwako ikiwemo mazoezi ya kutosha,so kama kuna mwalimu humu ana body kama la huyu mkaka aje pm tuyajenge,pia ka sura kawepo jamani sitaki kutishwa mie wakati wa mazoezi
Tahadhari msome na kuelewa sio uje mwalimu upo upo na huna mwili wa mazoezi utanikosea adabu na akili yangu utaichosha, hakika sitofanya mazoezi vyema na utanipotezea muda tu ntakuwa nasahau kuja mazoezini,nataka mwalimu anaevutia ili niwe napenda sana mazoezi,na kila nikikumbuka mazoezi nafurahi,itanifanya akili yangu iwe inamkumbuka mwalimu kila saa ,mwalim akitabasam tu unafurahia .Mwalimu awe na lugha laini sipendi watu wakali anielewe nilivyo tu
Hebu tupende kufanya kitu huku unazungukwa na vitu vizuri akili nayo inakuwa nzuri na afya
Mmmhhh " mazoezi yapi '
 
Halaf Mi mnyamwezi niliepoteza passport,
niko bongo bahati mbaya tu unyamwezi sio wa kufosi ,ukiniona kama tozi niguse nije na kikosi
Haijalishi niko wapi lazima niwe happy,
Haijalishi nipo wapi lazima niwe msafi
Hata kama nipo mwenyewe au na washikaji
Kweli mama Sabrina upo mbali,
Ila hujaacha asili,
Japo hukulipa nauli, siku ile ya safari,
Na nyuzi zako za kachumbali,
Heri ukalie wali, na kisandu wako jirani,
 
Kweli mama Sabrina upo mbali,
Ila hujaacha asili,
Japo hukulipa nauli, siku ile ya safari,
Na nyuzi zako za kachumbali,
Heri ukalie wali, na kisandu wako jirani,
Huwezi kushindana nami
ungana nami,
hadharani fanya kama utani utani,
huwezi kushindana nasi
hakuna jinsi fanya bato na sisi uonekane funy funy
 
Back
Top Bottom